English
stringlengths
10
266
Sheng
stringlengths
7
264
.Even after Jesus had done all these miraculous signs in their presence, they still would not believe in him.
Hata after Jesus ado hizi ishara zote miraculous mbele yao, bado walishindwa kum believe.
.This was to fulfill the word of Isaiah the prophet: "Lord, who has believed our message and to whom has the arm of the Lord been revealed?"
Hii ilikuwa ku fulfill word ya Izzo yule prophet: "Bwana mdosi, nani amemesea message yetu na ni kwa kina nani mkono wa sir Godi imeonekana?"
.For this reason they could not believe, because, as Isaiah says elsewhere:
Ju ya hii reason walishindwa kuamini, ju, ka tu vile Izzo alidai place ingine:
."He has blinded their eyes and deadened their hearts, so they can neither see with their eyes, nor understand with their hearts, nor turn”and I would heal them."
"Ameshawa blind macho zao na kudedisha heart zao, hadi hawacheki na macho zao na hawanyiti na heart zao, waturn- njo niwaponye."
.Isaiah said this because he saw Jesus' glory and spoke about him.
Izzo alidai ivi ju alicheki glory ya Jesus na akabonga ju yake.
.Yet at the same time many even among the leaders believed in him. But because of the Pharisees they would not confess their faith for fear they would be put out of the synagogue;
Yet iyo time wengi kati yao wenye walikuwa maleaders bado walimwamini. Lakini ju ya mafarisayo hawangeconfess faith yao ju ya kuingiza njeve ati wangechujwa nje ya synagogue;
.for they loved praise from men more than praise from God.
ju walipenda sifa kutoka kwa wasee more than sifa toka kwa sir Godi.
.Then Jesus cried out, "When a man believes in me, he does not believe in me only, but in the one who sent me.
Kisha JC akacry out, "Mse mwenye ananiamini, haniamini mi pekee, pia ameamini in yule mwenye alinituma.
.Now a certain man was sick, Lazarus of Bethany, the town of Mary and her sister Martha.
Sa jamaa fulani akagonjeka, Lazaro wa Bethany, ile tao ya kina Merii na siz wake Martha.
.It was that Mary who anointed the Lord with fragrant oil and wiped His feet with her hair, whose brother Lazarus was sick.
Sa ilikuwa merii njo ali ammoint bwana mdosi na ile marashi na kupangusa miguu zake na nywele zake, huyo njo bro wake Lazarus alikuwaga msick.
.Therefore the sisters sent to Him, saying, "Lord, behold, he whom You love is sick."
So wale masiz wake wakatumana kwake kumshow is how. "bwana mdosi,yule jamaa we hupenda sana ako sick."
.When Jesus heard that, He said, "This sickness is not unto death, but for the glory of God, that the Son of God may be glorified through it."
Vile JC aliskia ivo, akabonga akasema, "Hii ugonjwa by the way sio ati hadi adie, lakini ni ju ya glory ya sir Godi njo mtoi chali wa sir Godi awe glorified kuipitia."
.Now Jesus loved Martha and her sister and Lazarus.
Sa Jesus alikuwa mependa Martha na siz yake na Lazarus ile noma.
.So, when He heard that he was sick, He stayed two more days in the place where He was.
So vile aliskia ati Lazarus alikuwa msick, akauma vako place alikuwa siku ka mbili zaidi kwanza.
.Then after this He said to the disciples, "Let us go to Judea again."
Kisha bahadayez, after this akashow wafuasi niaje, "Tuishieni Judea tena."
.The disciples said to Him, "Rabbi, lately the Jews sought to stone You, and are You going there again?"
Wafuasi wadai Joh! "Rabbi, juzi juzi tu wayahudi walikusaka njo wakuwai mawe, ati alafu unadai kurudi huko tena?"
.Jesus answered, "Are there not twelve hours in the day? If anyone walks in the day, he does not stumble, because he sees the light of this world.
JC akamjibu niaje, "Si kunakuaga na masaa twelve za taa daily? Ka mse atatembea mchana mchana, hawezi tegwa, ju anacheki akitumia lightya hii world.
."But if one walks in the night, he stumbles, because the light is not in him."
"Lakini ngoja mse atembee gizani, atategwa hadi ashangae, ju hana light na yeye."
.These things He said, and after that He said to them, "Our friend Lazarus sleeps, but I go that I may wake him up."
Hizi vitu alibonga, na baada ya hapo akawashow niaje, "Beshte wetu Lazarus amedoze meja, lakini ninaishia kwake njo at least nimshtue arauke."
.Then His disciples said, "Lord, if he sleeps he will get well."
Kisha wafuasi wakamshow, "Bwana mdosi ka amedoze ataget poa."
.However, Jesus spoke of his death, but they thought that He was speaking about taking rest in sleep.
Lakini Jesus aklikuwa anagusia ju ya kudedi kwake, lakini wakadhania ati alikuwa akibonga ju ya ye ku take ka nap hivi.
.Then Jesus said to them plainly, "Lazarus is dead.
Kisha JC akamshow vi direct tu ati niaje, "Lazarus ame kick.
."And I am glad for your sakes that I was not there, that you may believe. Nevertheless let us go to him."
"Na niko glad ju tu yenu coz sikuwa hapo, njo muamini. Lakini haidhuru, wacha tukamcheki."
.Then Thomas, who is called the Twin, said to his fellow disciples, "Let us also go, that we may die with Him."
Kisha Tomi, mwenye AKA the twin,akashow disciples wake niaje, "Wacha tuishie pamoja naye pia, njo tudedi na yeye."
.So when Jesus came, He found that he had already been in the tomb four days.
Kisha vile JC alitokezea pale, alipata Lazaro alikuwa amestay ndani ya grave day ka nne.
.Now Bethany was near Jerusalem, about two miles away.
Sa Bethany ilikuwa tu kando, karibu na Jerusa, ka miles limbi away.
.And many of the Jews had joined the women around Martha and Mary, to comfort them concerning their brother.
Na wayahudi wengi walikuwa wamesha join wale mamathee around Martha na Merii, kuwaliwaza kuhusu bro wao.
.Then Martha, as soon as she heard that Jesus was coming, went and met Him, but Mary was sitting in the house.
Sa Martha, vile tu aliskia ati Jesus alikuwa anakam, akaishia kumcheki, lakini Merii alikuwa amepolea ndani ya mbanyu.
.Then Martha said to Jesus, "Lord, if You had been here, my brother would not have died.
So Martha akashow Jesus,Bwana mdosi, ka tu ungekuwa hapa, bro wa mine hangewai dedi.
."But even now I know that whatever You ask of God, God will give You."
Lakini hata sasa najua that chochote utaulizia sir Godi, sir Godi atakugei."
.Jesus said to her, "Your brother will rise again."
Jesus akabongana yeye, "Bro wako atarauka tena."
.Martha said to Him, "I know that he will rise again in the resurrection at the last day."
Martha akamshow, "Namesea that atarise tena ile siku ya kiama vile wadhi wata resurrect."
.Jesus said to her, "I am the resurrection and the life. He who believes in Me, though he may die, he shall live.
JC akashow madam, "Mi njo kurauka from kifo na mi njo life.Mwenye ananiamini, hata ka maybe atadedi, bado lazima ataishi.
."And whoever lives and believes in Me shall never die. Do you believe this?"
"Na yule mwenye ataishi na kuniamini hatawai kick. Munaamini hiyo yote?"
.She said to Him, "Yes, Lord, I believe that You are the Christ, the Son of God, who is to come into the world."
Kisha dem akamshow, "Ndio, bwana mdosi, Naamini we njo kristo, yule mtoi wa Sir Godi mwenye alifaa kuja ndani ya world."
.And when she had said these things, she went her way and secretly called Mary her sister, saying, "The Teacher has come and is calling for you."
Sa vile alimada kusema hizi vitu zote, dem akaishia njia zake kumcall Merii ki siri siri, akimshow niaje, "Odijo asha fika na amnakuulizia ukamcheki."
.As soon as she heard that, she arose quickly and came to Him.
Sa vile Merii aliskia hivo, akarauka chap chap na kuishia kumcheki.
.Now Jesus had not yet come into the town, but was in the place where Martha met Him.
Sa JC alikuwa bado hata hajafika ndani ya tao, lakini alikuwa ile place yenye Martha alikuwa amempata.
.Then the Jews who were with her in the house, and comforting her, when they saw that Mary rose up quickly and went out, followed her, saying, "She is going to the tomb to weep there."
Wale wayahudi walikuwaga na yeye kwa mbanyu, wakimliwaza, vile walicheki Mary amechomoka haraka upesi nje, wakamfollow wakisay, "Ameishia hadi kwa grave kulilia hapo."
.Then, when Mary came where Jesus was, and saw Him, she fell down at His feet, saying to Him, "Lord, if You had been here, my brother would not have died."
Kisha, vile Mary alifika ina dee area, place Jesus alikuwa, na akamcheki, akaanguka down kwa miguu za JC na kumshow niaje, "Bwana mdosi, ka ungalikuwaga hapa, bro wa mine hangewai dedi."
.Therefore, when Jesus saw her weeping, and the Jews who came with her weeping, He groaned in the spirit and was troubled.
Kwa ivo, Vile JC alicheki akilia, na wayahudi wenye walikam na yeye wakilia, manze akamuvika akaanza kulia rohoni, akabaki amesumbuka.
.And He said, "Where have you laid him?" They said to Him, "Lord, come and see."
Akawashow, "Mmelaza place gani?" Wakamshow, "Bwanamdosi, kam tu ucheki."
.Jesus wept.
Jesus akaangua kilio.
.Then the Jews said, "See how He loved him!"
Wale wayahudi wakdai, "Haiya, cheki vile alimpenda!"
.And some of them said, "Could not this Man, who opened the eyes of the blind, also have kept this man from dying?"
Kisha wasee kadhaa kati yao wakadai, "Huyu jamaa kwani, mse mwenye alifunguamacho za vipofu, hangeprevent huyumsee from kukick?"
.Then Jesus, again groaning in Himself, came to the tomb. It was a cave, and a stone lay against it.
Kisha JC, tena akilia in his heart, akafikia grave. Ilikuwa ki cave ivi, na jiwe bwaku ilikuwa imelazwa against it.
.Jesus said, "Take away the stone." Martha, the sister of him who was dead, said to Him, "Lord, by this time there is a stench, for he has been dead four days."
JC akasema, "Toeni jiwe." Martha, siz wa Lazaro mwenye alikuwa amekick, akateta kwake, "Bwana mdosi, time ka saa hii kuna smell ingine muhadhara, ju amekick siku nne sasa."
.Jesus said to her, "Did I not say to you that if you would believe you would see the glory of God?"
JC akamshow, "Si nilikushow that ka utaamini utacheki glory ya sir Godi?"
.Then they took away the stone from the place where the dead man was lying. And Jesus lifted up His eyes and said, "Father, I thank You that You have heard Me.
Kisha wakakwachu away ile stone toka ile place yule jamaa dead alikuwa amelazwa. Na JC akainua up macho yake na kudai, "Dad, nakushukuru ju wewe umeniskia.
."And I know that You always hear Me, but because of the people who are standing by I said this, that they may believe that You sent Me."
"Sa namesea that wewe huniskia kila time,lakini ju ya wadhii wenye wamusimama hapa nimedai hivi,njo waweze kubelive that ulinituma.
.Now when He had said these things, He cried with a loud voice, "Lazarus, come forth!"
Sa vile alisema hizi vitu zote, akalia in a loud voice, "Lazarus, tokezea hapa!"
.And he who had died came out bound hand and foot with graveclothes, and his face was wrapped with a cloth. Jesus said to them, "Loose him, and let him go."
Na mwenye alikuwa amekick akatokezea akiwa amefungwa mkono namguu na nguo za kaburi, uso yake ilikuwa imefunikwa na kitambaa. JC akawashow, "Mfungueni na muache aishie."
.Then many of the Jews who had come to Mary, and had seen the things Jesus did, believed in Him.
Kisha wengi wa wale wayahudi walikuwa wamekam kwa Merii, na wakacheki zile vitu zote JC alikuwa amedo wakabelieve in him.
.But some of them went away to the Pharisees and told them the things Jesus did.
Lakini wengine wao waliishia zao hadi kwa mapharisee na kuwashow zile vitu JC alikuwa amedo.
.Then the chief priests and the Pharisees gathered a council and said, "What shall we do? For this Man works many signs.
Kisha ma priest sonkwo na wale mafarisayo wakaita mkutano ya kanjo na kubonga, '
."If we let Him alone like this, everyone will believe in Him, and the Romans will come and take away both our place and nation."
"Ka tukiachana na yeye ivi, kila mse ata belive yeye, alafu ma-Romans wakam watunyanganye placeyetu na country yetu.
.And one of them, Caiaphas, being high priest that year, said to them, "You know nothing at all,
So mmoja wao, Caiaphas, ju alikuwa priest mdosi kabisa hiyo mwaka, akawashow,"Hamjui any kabisa,
."nor do you consider that it is expedient for us that one man should die for the people, and not that the whole nation should perish."
"Na ha hata hamjaconsider kuwa ni clever kwetu kama mse mmoja anaweza dedi ju ya wale wengine, na sio ati country nzima idedi."
.Now this he did not say on his own authority; but being high priest that year he prophesied that Jesus would die for the nation,
So alibonga hivi bila kutumia say yake' lakini akiwa priest sonkwo hiyo mwaka aliprophesy kuwa JC angededi ju ya the nation.
.and not for that nation only, but also that He would gather together in one the children of God who were scattered abroad.
na sio tu hiyo country pekee, lakiini pia angekusanya pamoja watoi wa sir Godi wenyewalikuwa wamescatter majuu.
.Then, from that day on, they plotted to put Him to death.
Kisha, toka hiyo day kuendelea, wakapanga kumwua.
.Therefore Jesus no longer walked openly among the Jews, but went from there into the country near the wilderness, to a city called Ephraim, and there remained with His disciples.
Kwa hivo hata JC akaacha kutembea wazi wazi kati yawayahudi, lakini akaishia toka hapo akakitoa hadi ndani yajangwa, karibuna jiji moja iliitagwa Ephraim, akabakia hapo na wafuasi wake.
."Most assuredly, I say to you, he who does not enter the sheepfold by the door, but climbs up some other way, the same is a thief and a robber.
"For real nawashow, ye mwenye haiingii kibanda cha kondo akipitia dooa, lakini anapanda juu through njia ingine, huyo huyo ni dingo na thegi.
."But he who enters by the door is the shepherd of the sheep.
"Lakini mwenye anadonjo na dooa ye njo ni shepherd wa kondoo.
."To him the doorkeeper opens, and the sheep hear his voice; and he calls his own sheep by name and leads them out.
"Kwake watchie wa door anamfungulia, na kondoo zitaskia voice yake; na aki call kondoo zake na jina na kuwaongoza nje.
."And when he brings out his own sheep, he goes before them; and the sheep follow him, for they know his voice.
"Na vile anazileta out sheep zake, anaishia mbele zao; na zile kondoo zinamfuata bumper, ju zinajua voice yake.
."Yet they will by no means follow a stranger, but will flee from him, for they do not know the voice of strangers."
"Ilhali haziezi wahi kwa njia yoyote fuata mse stranger, lakini zitamhepa, ju hazijui ma voices za ma strangers."
.Jesus used this illustration, but they did not understand the things which He spoke to them.
JC aka use hii mfano, lakini hawakunyita zile vitu alikuwa akiwabongesha.
.Then Jesus said to them again, "Most assuredly, I say to you, I am the door of the sheep.
Kisha alafu JC akawashow tena, "Cha ukweli, nawaambia, mi njo dooa ya kondoo.
. "All who ever came before Me are thieves and robbers, but the sheep did not hear them.
"Wale woote wamewahi kam before mimi walikuwa madingo na mathegi, lakini zile kondoo haziku waskiza.
."I am the door. If anyone enters by Me, he will be saved, and will go in and out and find pasture.
"Mimi njo dooa. Ka mse yeyote ataingia na mimi, atasevika, na atakam ndani na kuishia nje na pia ataget nyasi.
."The thief does not come except to steal, and to kill, and to destroy. I have come that they may have life, and that they may have it more abundantly.
Dingo ye hakamigi kudo kitu ingine, ye hukam kusanya, kumada, na ku destroy. Nimekam njo mkuwe na life, na that mkuwe na life ingine bwaku,life mob.
."I am the good shepherd. The good shepherd gives His life for the sheep.
"Mi njo yule shepherd mpoa. Yule shepherd mpoa hugeiana life yake for the sheep.
."But a hireling, he who is not the shepherd, one who does not own the sheep, sees the wolf coming and leaves the sheep and flees; and the wolf catches the sheep and scatters them.
"Lakini jamaa wa mkono, ju ye sio shepherd, ye sio mwenye kondoo, akicheki mbweha inakam anaachaga kondoo anahepa; na ma wolf zinashika kondoo na kuziscatter.
."The hireling flees because he is a hireling and does not care about the sheep.
"Jamaa wa mkono huhepa ju ye ni mse wa kibarua na hajali ju ya kondoo.
."I am the good shepherd; and I know My sheep, and am known by My own.
"Mi njo yule mchungaji mpoa; na namesea kondoo zangu, na zangu pia zinanijua.
."As the Father knows Me, even so I know the Father; and I lay down My life for the sheep.
"Sa vile tu mbuyu ananijua, hivo pia najua mbuyu; na ninaweka down life yangu juu ya kondoo.
."And other sheep I have which are not of this fold; them also I must bring, and they will hear My voice; and there will be one flock and one shepherd.
"Pia kondoo zingine niko nazo, lakini sio za zizi langu; wao pia lazima nilete, na wao pia wataskia voice yangu;na kutakuwa na rende moja ya kondoo na mchungaji mmoja.
."Therefore My Father loves Me, because I lay down My life that I may take it again.
"Kwa ivo mbuyu wangu amenipenda, ju nimeweka down life yangu njo niichukue up tena.
."No one takes it from Me, but I lay it down of Myself. I have power to lay it down, and I have power to take it again. This command I have received from My father."
"Hanaku mse anaitake from mimi, lakini naiwekadown mwenyewe. Niko na power yakuiweka down na power ya kuipick up tena. Na hii amri niligeiwa from mbuyuz wangu."
.Therefore there was a division again among the Jews because of these sayings.
Kwa ivo kukatokea mgawanyiko kati ya rende ya Jews ju ya kubonga hizi vitu.
.And many of them said, "He has a demon and is mad. Why do you listen to Him?"
Na wengi wao wakadai, "Ako na pepo manze alisha tuacha. Mbona mnamskizia?"
.Others said, "These are not the words of one who has a demon. Can a demon open the eyes of the blind?"
Wengine wakadai, "Hizi sio ma words za mse ako na devo.Kwanza devo anaweza fungu macho za mse blind kweli?"
.Now it was the Feast of Dedication in Jerusalem, and it was winter.
Sa ilikuwa ni ile paree ya kudedicate ndani yaJerusa, na kulikuwa ni winter.
.And Jesus walked in the temple, in Solomon's porch.
Na JC akapiga raundi ndani ya temple, ndani ya ile verandah ilikuwaga ya Solomon.
.Then the Jews surrounded Him and said to Him, "How long do You keep us in doubt? If You are the Christ, tell us plainly."
Wale wayahudi wakamzunguka na kumshow, "Hadi lini utatuweka tukishuku? Ka we njo the Christ tushow wazi wazi."
.Jesus answered them, "I told you, and you do not believe. The works that I do in My Father's name, they bear witness of Me.
JC akawajibu akawaambia niaje, "Nilikuambia, lakini haukuniamini. Zile works zenye ninado na jina ya mbuyu wangu, zinanitolea ushahidi.
."But you do not believe, because you are not of My sheep, as I said to you.
"Lakini hauniamini, ju nyi hamko kati ya ma kondoo zangu, vile niliwashow.
."My sheep hear My voice, and I know them, and they follow Me.
"Kondoo zangu zinaskia voice yangu, na ninawamesea, na wananifuata.
."And I give them eternal life, and they shall never perish; neither shall anyone snatch them out of My hand.
"Na ninawagei maisha ya foree, hawatawai perish; wala hanaku mse atawa snatch toka mikono zangu.
."My Father, who has given them to Me, is greater than all; and no one is able to snatch them out of My Father's hand.
"Mbuyu wangu, mwenye aligeianwa kwangu, ni mbwaku kuliko wote; na hanaku mse anaweza kuwa snatch toka mikono za mbuyu wangu.
."I and My Father are one."
"Mi na mbuyu wangu tuko one."
.Then the Jews took up stones again to stone Him.
Kisha wale jews wakakwachu mawe tena kumpiga nazo.
.Jesus answered them, "Many good works I have shown you from My Father. For which of those works do you stone Me?"
JC akawashow niaje, "vitu mob poa nimewashow toka kwa mbuyu wangu. Ni ju yagani ya hizo njo mnanipiga mawe?"
.The Jews answered Him, saying, "For a good work we do not stone You, but for blasphemy, and because You, being a Man, make Yourself God."
Wayahudi wakamjibu niaje, wakibonga, "Ju ya works poa hatuwezi kuku stone, lakini ju ya blasphemy hii, ati wewe mse human, ukajifanya kuwa sir Godi."
.Jesus answered them, "Is it not written in your law, 'I said, "You are gods"'?
JC akawashow niaje, "Si imechorwa kwa sheria zenu, 'Nime say, "nyi ni sir godi"'?
."If He called them gods, to whom the word of God came (and the Scripture cannot be broken),
"Ka aliwaita wale sir godi, kwa wale word ya sir Godi ilikam (Na ujue maandiko haiwezi vunjwa),
."do you say of Him whom the Father sanctified and sent into the world, 'You are blaspheming,' because I said, 'I am the Son of God'?
"je, mnabonga ju ya yule mwenye mbuyu alimake mholy na kumsend ndani ya world,ati, 'Una blaspheme,' ju nilisema, 'Mi njo mtoi son wa sir Godi'?
."If I do not do the works of My Father, do not believe Me;
Ka si do zile janta za mbuyu wangu, msiniamini;
.As he went along, he saw a man blind from birth.
Sa vile alikuwa akiendanisha na baro, akacheki mse m-blind from ile day alizaliwa.